1
Zaburi 37:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Jifurahishe katika Mwenyezi Mungu naye atakupa haja za moyo wako.
Linganisha
Chunguza Zaburi 37:4
2
Zaburi 37:5
Mkabidhi Mwenyezi Mungu njia yako, mtumaini yeye, naye atatenda hili
Chunguza Zaburi 37:5
3
Zaburi 37:7
Tulia mbele za Mwenyezi Mungu na umngojee kwa uvumilivu; usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, wanapotekeleza mipango yao miovu.
Chunguza Zaburi 37:7
4
Zaburi 37:3
Mtumaini Mwenyezi Mungu na utende yaliyo mema. Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama.
Chunguza Zaburi 37:3
5
Zaburi 37:23-24
Kama Mwenyezi Mungu akipendezwa na njia ya mtu, yeye huimarisha hatua zake, ajapojikwaa, hataanguka, kwa maana Mwenyezi Mungu humtegemeza kwa mkono wake.
Chunguza Zaburi 37:23-24
6
Zaburi 37:6
Yeye atafanya haki yako ing’ae kama mapambazuko, na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri.
Chunguza Zaburi 37:6
7
Zaburi 37:8
Epuka hasira na uache ghadhabu; usihangaike: itakuongoza tu kutenda uovu.
Chunguza Zaburi 37:8
8
Zaburi 37:25
Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa au watoto wao wakiombaomba chakula.
Chunguza Zaburi 37:25
9
Zaburi 37:1
Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, wala usiwaonee wivu watendao mabaya
Chunguza Zaburi 37:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video