BibleProject | Tafakari ya Ujio wa YesuSample
Katika wiki yetu ya pili ya majilio, tutachunguza maana ya Biblia ya amani na jinsi inavyoelekeza kwa Yesu. Video hii inakutia moyo vipi leo?
Scripture
About this Plan
BibleProject ilibuni Tafakari ya Ujio wa Yesu ili kuhamasisha watu mmoja mmoja, vikundi vidogo vidogo, na familia kusherehekea majilio, au kuwasili kwa Yesu. Mwongozo huu wa wiki nne unashirikisha video za kikatuni, mihutasari mifupi, na maswali ya kutafakari ili kuwasaidia washiriki kuchunguza maana ya Biblia ya tumaini, amani, furaha, na upendo. Chagua mwongozo huu ili kujifunza jinsi maadili haya manne yamefika ulimwenguni kupitia kwa Yesu.
More