BibleProject | Tafakari ya Ujio wa YesuSample

Tumaini la Biblia halipo kwa ajili ya wanadamu pekee; lipo kwa ajili ya viumbe wote. Ufufuo wa Yesu ulitoa dhihirisho dogo tu la jinsi ulimwengu wote utafanyiwa matengenezo siku moja.
Soma:
Warumi 8:18-39
Tafakari:
Katika kifungu hiki, watoto wa Mungu na viumbe wanasubiri kuona nini hasa kikitimizwa? Ni nini kitatimizwa siku hiyo? Unafikiri uumbaji utakuwaje siku tumaini hili litakapotimizwa?
Unapitia mateso gani sasa hivi? Kifungu hiki kinakutiaje moyo katikati ya huzuni yako leo?
Scripture
About this Plan

BibleProject ilibuni Tafakari ya Ujio wa Yesu ili kuhamasisha watu mmoja mmoja, vikundi vidogo vidogo, na familia kusherehekea majilio, au kuwasili kwa Yesu. Mwongozo huu wa wiki nne unashirikisha video za kikatuni, mihutasari mifupi, na maswali ya kutafakari ili kuwasaidia washiriki kuchunguza maana ya Biblia ya tumaini, amani, furaha, na upendo. Chagua mwongozo huu ili kujifunza jinsi maadili haya manne yamefika ulimwenguni kupitia kwa Yesu.
More
Related Plans

You Are Not Alone.

God in the Midst of Depression

Ready as You Are

Leading With Faith in the Hard Places

Church Planting in the Book of Acts

EquipHer Vol. 12: "From Success to Significance"

BibleProject | Sermon on the Mount

Acts 10:9-33 | When God Has a New Way

7-Day Devotional: Torn Between Two Worlds – Embracing God’s Gifts Amid Unmet Longings
