YouVersion Logo
Search Icon

Plan Info

Soma Biblia Kila Siku 12/2020Sample

Soma Biblia Kila Siku 12/2020

DAY 4 OF 31

Shemu, na Hamu, na Yafethi ... Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu; na kwa haonchi yote ikaenea watu(m.18-19). Yaani, duniani pote walibaki hao tu! Ndiyo maana Mungu akawaambia: Nanyi zaeni, mkaongezeke; zaeni sana katika nchi (m.7)! Yaani, mataifa yote yana asili yao kwa wana wa Nuhu. Sura ya 10 inaeleza juu ya ukoo wao. Hapa twaona k.m. asili ya watu wa Ulaya ni kwa Yafethi, Wamisri na Waethiopia wametoka kwa Hamu, na Waisraeli na Waarabu wametoka kwa Shemu. Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja (Mt 24:14).

Day 3Day 5

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 12/2020

Soma Biblia Kila Siku 12/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wathesalonike, Mathayo na Mwanzo. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mun...

More

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy