YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 12/2020Sample

Soma Biblia Kila Siku 12/2020

DAY 31 OF 31

Msifuni Mungu(m.1). Zaburi ya mwisho inaonyesha kilele na jambo kuu la kitabu chote cha Zaburi. Msifuni kwa matendo yake makuu (m.2). Imetupasa kumsifu Mungu aliyeumba mbingu na dunia, anayetutunza na kutupenda, aliyefanya mambo mengi makuu kwa ajili yetu, na aliyetuokoa kwa Mpatanishi wetu.  Watu wote na viumbe vingine vyote hushirikiana katika kumsifu Bwana Mungu kwa ukuu wa nafsi yake na kwa matendo yake! Kwa kila njia iwezekanayo watu wote wa kila mahali wamsifu Mungu.

Day 30

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 12/2020

Soma Biblia Kila Siku 12/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wathesalonike, Mathayo na Mwanzo. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More