YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 12/2020Sample

Soma Biblia Kila Siku 12/2020

DAY 28 OF 31

Mungu aliwapa ushindi Waisraeli dhidi ya maadui zao, akawaongoza na kuwapeleka Kanaani. Haya yote hayakutokea kwa sababu watu walistahili baraka zake, bali kwa sababu Mungu aliwapenda. Leo hii hatufurahii amani, baraka na uzima katika maisha yetu kwa sababu tunastahili, bali ni kwa sababu ya upendo wa Mungu kwetu – kama ilivyoandikwa: Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele(Yn 3:16).

Day 27Day 29

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 12/2020

Soma Biblia Kila Siku 12/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wathesalonike, Mathayo na Mwanzo. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More