YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 02/20Sample

Soma Biblia Kila Siku 02/20

DAY 26 OF 29

Mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona (m.38-39). Yesu anafundisha juu ya hali inayotokea mara kwa mara kwamba mtu katika kumfuata yeye hukabiliwa na uchaguzi mgumu sana. Maana akichagua kumfuata Yesu atavunja uhusiano wake mzuri na wazazi au ndugu tena inawezekana watakuwa maadui zake. Huenda atajisikia ni kama kuipoteza nafsi yake. Lakini amchaguaye Yesu huiokoa nafsi yake milele!

Day 25Day 27

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 02/20

Soma Biblia Kila Siku 02/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Esta. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu.

More