YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 8Sample

Soma Biblia Kila Siku 8

DAY 8 OF 31

Kama ilivyokuwa upande wa baraka, ndivyo ilivyo upande wa laana pia. Ziko mikononi mwa Bwana, na atazileta usipotaka kuisikia sauti ya BWANA, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake (m.15). M.16-29 inasema kuwa laana zitamfuata yeyote popote atakapokuwapo kama asipoisikia sauti ya Bwana. Angalia manano mazito yafuatayo, BWANA atakuletea laana … BWANA atakuambatanisha na tauni … BWANA atakupiga … BWANA atakufanya … (m.20-29). SALA: ”Bwana, usituingize kamwe chini ya laana zako”.

Day 7Day 9