Mattayo MT. 6:30

Mattayo MT. 6:30 SWZZB1921

Lakini Mungu akiyavika hivi majani ya mashamba, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je, hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?