1
Mattayo MT. 11:28
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye mizigo nami nitawapumzisha.
Thelekisa
Phonononga Mattayo MT. 11:28
2
Mattayo MT. 11:29
Jitieni nira yangu, jifunzeni kwa mfano wangu; kwa kuwa mimi ni mpole na moyo wangu umenyenyekea: nanyi mtapata raha rohoni mwenu
Phonononga Mattayo MT. 11:29
3
Mattayo MT. 11:30
kwa maana nira yangu laini, na mzigo wangu mwepesi.
Phonononga Mattayo MT. 11:30
4
Mattayo MT. 11:27
Nimekabidhiwa vyote na Baba yangu: wala hakuna mtu amjuae Mwana, illa Baba; wala hakuna mtu amjuae Baba illa Mwana, na ye yote ambae Mwana apenda kumfunulia.
Phonononga Mattayo MT. 11:27
5
Mattayo MT. 11:4-5
Yesu akajibu akawaambia, Enendeni mkamweleze Yohana mnayoyasikia na kuyaona: vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanakhubiriwa khabari njema.
Phonononga Mattayo MT. 11:4-5
6
Mattayo MT. 11:15
Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.
Phonononga Mattayo MT. 11:15
Ekuqaleni
IBhayibhile
Izicwangciso
Iividiyo