Soma Biblia Kila Siku 03/2025Mfano

Yesu aliona tatizo ambalo tunaliona pia leo katika kanisa, hasa kwa wachungaji, wainjilisti na wahudumu wengine: Kwa upande mmoja kazi ni nyingi. Watu wanahitajisanahuduma!Wakampa habari za mambo yote waliyoyafanya, na mambo yote waliyoyafundisha(m.30).Akaona mkutano mkuu, akawahurumia ... akaanza kuwafundisha mambo mengi(m.34).Kwa upande mwingine nilazimakupata nafasi ya kupumzika na kula!Njoni ninyi peke yenu kwa faragha ... mkapumzike kidogo(m.31).Wakala wote wakashiba(m.42).
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 03/2025 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Marko, 1 Nyakati na Isaya. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: www.somabiblia.or.tz