Amani ya MunguMfano
IMANI IMARA HULETA AMANI
KUONGEA NA MUNGU
Thabiti, uthabiti, kutokuyumba, imara, kuaminika, madhubuti-- maneno haya yanaelezea jinsi Mungu alivyo. Mwambie Mungu unapoomba jinsi unavyomshukuru kwa ajili ya sifa hizi.
KUZAMA NDANI
Tayarisha makopo ya kuokea mawili yaliyojaa mchanga: moja likiwa na unyevu limefungwa vizuri, lingine likiwa kavu na halikufungwa vizuri. Pitisha gari la mtoto juu ya kila aina ya mchanga. Lengo ni kuona aina gani ya mchanga gari litapita vizuri.
KWENDA NDANI ZAIDI
Kama jinsi ilivyo rahisi kupitisha kitu juu ya mchanga ulio imara, imani imara hufanya rahisi kwako kupitia nyakati nzuri na mbaya katika maisha. Imani huleta baraka tele, pamoja na amani. Zaburi 29:11 inasema “BWANA atawapa watu wake nguvu; BWANA atawabariki watu wake kwa amani.” Lakini unapokuwa humwamini Mungu, una imani kama ya mchanga usio imara; unaangushwa na kuwa na matatizo kuvuka nyakati ngumu katika maisha yako. Ndiyo maana unahitaji kuomba Mungu akulete karibu naye na kujenga imani yako katika yeye.
MAJADILIANO
- Elezea wakati imani yako imekua. Nini kilikusaidia kukua katika imani?
- Umeisikiaje amani ya Mungu? Ikoje?
- Mungu ni mwanzilishi wa amani na kila jema. Umemuomba kwa ajili ya imani zaidi? Umemuomba kwa ajili ya amani yake?

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Neno la Mungu linatuambia kwamba Hutoa amani " ipitayo ufahamu wote" (Wafilipi 4:7 SUV). Katika mafundisho haya ya siku nne, wewe na watoto wako muamgalie kwa makini maeneo katika maisha yetu tunapoweza kupata amani hiyo. Kila siku inajumuisha hitaji la maombi, kusoma maandiko kidogo na ufafanuzi, mazoezi ya kufanya, na maswali ya kujadili.
More
We would like to thank Focus on the Family for providing this plan. For more information, please visit: www.FocusontheFamily.com