SOMA BIBLIA KILA SIKU 01/20Mfano

Mungu anapenda watu wake wakutane naye. Na kwa kuwa Yeye ni Mtakatifu, anamtuma Musa awaandae kwa kuwatakasa ili wakutane na Mungu. Watu wanatakiwa wajiandae kimwili na kiroho. Watu walimwitikia Mungu kwa kujitenga mbali na dhambi na mazoea ya kila siku ili wajitoe kwa Mungu kwa upya. Mungu anawapenda na kuwapa heri watu wake. Ndiyo maana anawaandaa kabla ya kukutana nao. Je, ni nini kinachotuandaa na kututakasa sisi ili kukutana na Mungu Mtakatifu? Tafakari Yesu anavyosema, Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia (Yn 15:3). Na Roho Mtakatifu ndiye anayetutakasa sisi daima.
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 01/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Kutoka, Zaburi na Isaya. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Anza mwaka wa 2020 kwa kujifunza Neno la Mungu kupitia mpango huu.
More
Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz
Mipangilio yanayo husiana

Soma Biblia Kila Siku Julai 2021

Upendo Wa Bure

Soma Biblia Kila Siku Februari 2021

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021

Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?

Soma Biblia Kila Siku 11/2020

BibleProject | Safari ya Kujifunza Kutoka Luka Na Matendo

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021
