SOMA BIBLIA KILA SIKU 01/20Mfano
![SOMA BIBLIA KILA SIKU 01/20](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F17940%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Sehemu ya pili ya Amri Kumi, yaani amri ya 4 hadi ya 10, inahusu namna ya kuhusiana miongoni mwetu wanadamu. Zinahusu uhusiano kati ya mtoto na wazazi, na jinsi ya kutendeana bila kudhuriana. Mungu anatuagiza tuhusiane na yeye kwanza; ndipo tuhusiane na wenzetu. Jambo kuu katika uhusiano huu ni jinsi itupasavyo kutenda katika kupendana, kuheshimiana, kutunza wenzi na kutunza mali za jirani, za kanisa na zile za taifa. Kumbuka jinsi Yesu anavyojumlisha amri zote: Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja; nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote. Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi(Mk 12:29-31). Amri zote zinalenga katika kumwongoza mtu ili aishi maisha ya utakatifu.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
![SOMA BIBLIA KILA SIKU 01/20](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F17940%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Soma Biblia Kila Siku 01/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Kutoka, Zaburi na Isaya. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Anza mwaka wa 2020 kwa kujifunza Neno la Mungu kupitia mpango huu.
More
Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz
Mipangilio yanayo husiana
![Soma Biblia Kila Siku Julai 2021](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F26577%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku Julai 2021
![Upendo Wa Bure](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F26579%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Upendo Wa Bure
![Soma Biblia Kila Siku Februari 2021](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F23985%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku Februari 2021
![Soma Biblia Kila Siku Mei 2021](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F25588%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku Mei 2021
![Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F26578%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?
![Soma Biblia Kila Siku 11/2020](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F22531%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku 11/2020
![BibleProject | Safari ya Kujifunza Kutoka Luka Na Matendo](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F24935%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
BibleProject | Safari ya Kujifunza Kutoka Luka Na Matendo
![Soma Biblia Kila Siku Januari 2021](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F23329%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku Januari 2021
![Soma Biblia Kila Siku Machi 2021](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F24503%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Soma Biblia Kila Siku Machi 2021
![Moyo - Neno La Mungu Hugeuza Moyo](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F22660%2F320x180.jpg&w=640&q=75)