Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 9Mfano

Soma Biblia Kila Siku 9

SIKU 26 YA 30

Lo! Haya ni maneno mazuri mno! Mungu amelifungua lango kubwa na pana la kufika kwake Mbinguni kwa kilabinadamu! Maana hakuna tofauti; kwa sababu wotewamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu(m.22-24). Hata ukijiona kwamba umepotea sana na ni mwenye dhambi sana, mlango huu uko wazi kwako! Njoo kwa Yesu kama ulivyo leo hii. Piga magoti! Fungua moyo wako, umwambie mambo yote! Na umshukuru kwa wokovu wake!

siku 25siku 27

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 9

Soma Biblia Kila Siku 9 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kumbukumbu la Torati, Warumi na Mithali

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabolimo.or.tz