Vitendo vya TobaMfano
Je, umewahi potea? Inaweza kuwa moja ya hisia ya kuvunja moyo kuto fahamu unakoenda. Kwa kweli, inaweza kuwa hali ya kutishia Katika mstari wa 25, Petro anatufananisha na kondoo kwa kuwa tulikua tunaishi kwa dhambi, tulikua tumeenda kando na kupotea. Atakufahamu pa kwenda lakini baada ya kutubu dhambi zetu na kuupokea msamaha wa Mungu tumerudi katika zizi linalo ongozwa na Mungu mchungaji wetu. Ni wapi unazidi kuenda kando? Labda unajitahidi kubaki ndani ya njia ya Mungu lakini unazidi kupotea njia kwa sababu ya ndambi katika maisha yako Tubu ndambi hiyo kwa Mungu. Itubu leo na umuulize Mungu akusaidie kuishinda kwa ukamilifu.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Toba ni moja ya hatua muhimu sote huchukua tunapokuja kumjua Yesu kristo kama mwongozi wa maisha yetu. Toba ni kitendo chetu na msamaha ni majibu ya Mungu kwetu kutokana na mapenzi yake kamili kwa ajili yetu. Ndani ya siku tano na kupitia masomo haya, utapokea somo la biblia kila siku na ibada fupi iliyoundwa kukusaidia kuelewa vyema umuhimu wa toba katika kutembea kwetu na Kristo.
More
We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church