Vitendo vya TobaMfano
Zaburi 51 ni kilio cha Daudi kwa Mungu ili kupata toba kwa muundo wa dhambi alioshiriki kufuatia kosa lake na Bathsheba. Unaweza kwa ukaribu kumwona Daudi akiwa amepiga magoti na kutumia mapafu yake kumlilia Mungu azioshe dhambi zake. Zaburi hii inatupa picha ya vile toba inafa kua katika maisha yetu Kwanza, Daudi anaikubali dhambi yake Pili, anaomba msamaha Kisha, anamwomba Mungu upya wake Hatimaye, anamuuliza Mungu amsaidie kuitumia dhambi yake kuwafundisha wale wanaoshiriki dhambi na wanaohitaji toba Je, toba katika maisha yako inafanana na nini? Je, kuufuata mfano wa toba wa Daudi unaimarisha vipi uhusiano wako na Mungu?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Toba ni moja ya hatua muhimu sote huchukua tunapokuja kumjua Yesu kristo kama mwongozi wa maisha yetu. Toba ni kitendo chetu na msamaha ni majibu ya Mungu kwetu kutokana na mapenzi yake kamili kwa ajili yetu. Ndani ya siku tano na kupitia masomo haya, utapokea somo la biblia kila siku na ibada fupi iliyoundwa kukusaidia kuelewa vyema umuhimu wa toba katika kutembea kwetu na Kristo.
More
We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church