Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Vitendo vya TobaMfano

Acts of Repentance

SIKU 5 YA 5

Mungu alimtuma mwanawe wa pekee Yesu ulimwenguni kwa sababu hii ya msingi kutupatia maisha mapya Katika Luka 5:27-32, Yesu anausema upya ujumbe wake kwa njia hii: "Sio wenye afya wanaohitaji daktari ila wagonjwa. Sijakuja kuwaita watakatifu bali wenye dhambi kutubu." Yesu alikuja kwa watenda dhambi kama wewe na mimi ili tupate maisha mapya kupitia toba zetu na msamaha wake. Maisha yetu ubadilika milele tunapotubu na kutafuta msamaha wake. Dhamira ya Kristo ni dhamira yetu pia Tumeitwa sio kuwahubiria watakatifu ila wale waliopotea na wanaohitaji msamaha kama kwa dhati umetubu dhambi zako na Mungu amekusamehe dhambi hizo, basi una hadithi yakuwasimulia wale wanaohitaji kutubu. Mabadiliko katika maisha yako yanaweza kutengeneza mabadiliko katika maisha ya mwengine Nani unayemfahamu anahitaji kutubu na kupokea msahama wa Mungu? Je ni vipi hadithi ya msamaha wa Mungu katika maisha yako unaweza kumsaidi mtu mwengine kuja kutubu?
siku 4

Kuhusu Mpango huu

Acts of Repentance

Toba ni moja ya hatua muhimu sote huchukua tunapokuja kumjua Yesu kristo kama mwongozi wa maisha yetu. Toba ni kitendo chetu na msamaha ni majibu ya Mungu kwetu kutokana na mapenzi yake kamili kwa ajili yetu. Ndani ya siku tano na kupitia masomo haya, utapokea somo la biblia kila siku na ibada fupi iliyoundwa kukusaidia kuelewa vyema umuhimu wa toba katika kutembea kwetu na Kristo.

More

We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church