Ninakujua. Ibada Kutoka Wakati wa NeemaMfano
Nayajua mateso yenu na umaskini wenu.
Wote tunapenda kusikia habari za ushindi katika maisha ya wakristo. Wakati watu wanapotoa ushuhuda, siku zote maneno yao yanaonekana kuishia na ushindi. Siku zote kuna soko la " mimi ni mshindi" katika mawasilisho. Nani anapenda kusikia ushuhuda kutoka kwa mkristo anayeteseka na ambaye hawezi kulipa hata bili zake.
Mungu anatenda. Anataka kusikia kutoka kwetu si wakati kila kitu kinaenda vizuri, tunapokuwa na fedha nyingi, tunapojisikia vizuri, tunapokuwa na kazi, na familia yetu iko sawa. Anatujua na anatupenda hata tunapoumwa saratani ya damu, ugonjwa akili, au mtindio wa ubongo. Anatupenda hata tukiwa tumekaa kwenye ofisi ya mwanasheria tukitangaza kufilisika au kupokea talaka. Anatupenda hata tukiwa gerezani, au nyumba za ushauri wa magonjwa ya akili au madawa ya kulevya.
Anajua tumevunjika. Ndiyo alijua kwamba anahitaji kumtuma mwokozi- kwa kuwa tusingeweza kujiokoa wenyewe. Kwa wakristo wa Sirmina Mungu alisema, Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) (UFU. 2:9) Utajiri wao au wetu hauko kwenye fedha au majengo au hisa katika biashara. Uko kwenye agano la upendo wake kwetu unaonekana katika maisha matakatifu na kazi ya Yesu Kristo. Utajiri wao na wetu unasimama katika kuwa familia ya Mungu, na uwezo wetu wa kumwita Mungu Baba.

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Mungu alituumba kipekee. Na anajua huzuni zetu, furaha zetu, nguvu zetu, na udhaifu wetu.
More
Tulupenda kushukuru Huduma ya Muda wa Neema kwa kutupatia hii mpango. Kwa maelezo zaidi, atafathali nenda kwa: http://www.timeofgrace.org