Ninakujua. Ibada Kutoka Wakati wa NeemaMfano
Ninajua kuwa una nguvu kidogo.
“Ninajua unayoyapitia. " Unaweza kusikia kutoka kwa marafiki zako wanaonekana kama wanakuonea huruma. Unachopenda kuwajibu ni, " Hamjui ninayopitia, " lakini badala yake unasema, " Ndiyo."
Mngu anafuatilia kila kitu kinachoendelea katika maisha yetu. Mungu na malaika wake hufurahia ushindi wetu, na huhuzunika katika manung'uniko yetu, huingilia nyakati sahihi kutufanya tuendelee katika njia yetu inayotuongoza kwenda mbinguni, akitufunga vidonda, akitusimamisha tena, na kutupa msukumo kutufanya tuendelee na safari.
Mungu anajua tu dhaifu wakati mwingine. Aliwaambia wakristo waliokuwa wakitaabika katika mji wa Filadelfia, najua unazo nguvu kidogo, nawe umelitunza neno langu, wala hukulikana jina langu.”
(Ufu. 3:8) Ikiwa inahusisha fedha, mahusiano ya familia, afya, au biashara, Mungu anahuruma katika udhaifu wetu wa kibinadamu. Hatudharau kwa kutokuwa watu bora zaidi. Anaweza pia kuwa anaruhusu haya magumu ili kutuleta karibu zaidi na yeye. Anachokipenda zaidi ni imani yetu kwa mwokozi wetu Yesu. Je, tumeziacha ahadi za injili? Mungu aliwaasa wakristo wa Filadelfia, na anakuasa na wewe pia, “Shika sana ulicho nacho, asije mtu akaitwaa taji yako.”Shinda, atakufanya nguzo katika hekalu la mbinguni.
Unaweza kufa na madeni, lakini umeunganishwa na Yesu utaamka mbinguni ukiwa milionea wa kiroho.

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Mungu alituumba kipekee. Na anajua huzuni zetu, furaha zetu, nguvu zetu, na udhaifu wetu.
More
Tulupenda kushukuru Huduma ya Muda wa Neema kwa kutupatia hii mpango. Kwa maelezo zaidi, atafathali nenda kwa: http://www.timeofgrace.org