Ninakujua. Ibada Kutoka Wakati wa NeemaMfano
Ninajua ukaapo
Nimeishi na kufanyakazi katika mazingira magumu kwa miaka mingi. Lakini maisha yangu hayajawahi kuwa magumu kama ya wakristo walioishi Pergamo mashariki ya Asia ndogo. Shetani alimiliki mji ule, na madhabahu kubwa ya Kipagani ya Zeu mungu wa Kiyunani ilijengwa pale ( sasa iko kwenye makumbusho Ujerumani) ilikuwa ni chombo cha kuwapotosha watu.
Kuongezeka kwa wakristo Pergamo kulileta chuki kutoka kwa makuhani wa Zeu na mapepo ya shetani. Lakini Mungu aliona yote yaliyokuwa yanatendeka pale, alijua kila mwamini wake yuko wapi, na aliratibu matukio yote pale, hata mateso yao, ili kuupanua ufalme wake wa waamini. “Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.” (Ufu. 2:13)
Bwana anajua ukaapo pia. Anaziona hatari zako, huzuni za hasara zako na maumivu yako, anawatuma malaika wake kukukinda wewe na familia yako, nakuangalia jinsi unavyoyakabili majaribu na msongo wa mawazo. Shauku yake kubwa ni kwamba ubaki mwaminifu. Kuuwawa kwa Antipa hakukumuondolea zawadi yake ya mbinguni- ki ukweli, kifo kilimharakisha kuingia katika utukufu. Ujasiri wake ukirudiwa mara kwa mara na ulitoa uvuvio wa kukua haraka kwa kanisa la Kristo.

Andiko
Kuhusu Mpango huu
Mungu alituumba kipekee. Na anajua huzuni zetu, furaha zetu, nguvu zetu, na udhaifu wetu.
More
Tulupenda kushukuru Huduma ya Muda wa Neema kwa kutupatia hii mpango. Kwa maelezo zaidi, atafathali nenda kwa: http://www.timeofgrace.org