Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 72:1-4

Zaburi 72:1-4 BHN

Ee Mungu, umjalie mfalme uamuzi wako, umpe mwanamfalme uadilifu wako; atawale taifa lako kwa haki, na maskini wako kwa uadilifu. Milima ilete fanaka kwa watu wako, vilima vijae uadilifu. Mfalme awatetee wanyonge wa taifa, awasaidie watoto wa fukara, na kuwaangamiza watu wadhalimu.

Soma Zaburi 72

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 72:1-4