Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 72:1-4

Zaburi 72:1-4 NEN

Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako, mwana wa mfalme kwa haki yako. Atawaamua watu wako kwa haki, watu wako walioonewa kwa haki. Milima italeta mafanikio kwa watu, vilima tunda la haki. Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu na atawaokoa watoto wa wahitaji, ataponda mdhalimu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 72:1-4