Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 68:3-5

Zaburi 68:3-5 BHN

Lakini waadilifu hufurahi ajapo Mungu, hushangilia na kuimba kwa furaha. Mwimbieni Mungu, lisifuni jina lake; mtengenezeeni njia yake apandaye mawinguni. Jina lake ni Mwenyezi-Mungu; furahini mbele yake. Mungu akaaye mahali pake patakatifu, ni Baba wa yatima na mlinzi wa wajane.

Soma Zaburi 68

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 68:3-5