Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 68:3-5

Zab 68:3-5 SUV

Bali wenye haki hufurahi, Na kuushangilia uso wa Mungu, Naam, hupiga kelele kwa furaha. Mwimbieni Mungu, lisifuni jina lake, Mtengenezeeni njia ya barabara, Apitaye majangwani kama mpanda farasi; Jina lake ni YAHU; shangilieni mbele zake. Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane, Mungu katika kao lake takatifu.

Soma Zab 68

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 68:3-5