Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 68:3-5

Zaburi 68:3-5 NEN

Bali wenye haki na wafurahi, washangilie mbele za Mungu, wafurahi na kushangilia. Mwimbieni Mungu, liimbieni sifa jina lake, mtukuzeni yeye aendeshwaye juu ya mawingu: jina lake ni BWANA, furahini mbele zake. Baba wa yatima, mtetezi wa wajane, ni Mungu katika makao yake matakatifu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 68:3-5