Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 68:3-5

Zaburi 68:3-5 SRUV

Bali wenye haki hufurahi, Na kuushangilia uso wa Mungu, Naam, hupiga kelele kwa furaha. Mwimbieni Mungu, lisifuni jina lake, Mwimbieni wimbo yeye apitaye katika mawingu, Jina lake ni YAHU; Shangilieni mbele zake. Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane, Ni Mungu aliye katika kao lake takatifu.

Soma Zaburi 68

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 68:3-5