Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 10:35-37

Marko 10:35-37 BHN

Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo, walimwendea Yesu wakamwambia, “Mwalimu, tunataka utufanyie kitu tutakachokuomba.” Yesu akawauliza, “Mnataka niwafanyie nini?” Wakamjibu, “Uturuhusu kuketi mmoja upande wako wa kulia na mwingine upande wako wa kushoto katika utukufu wako.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 10:35-37