Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 10:35-37

Mk 10:35-37 SUV

Na Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakamwendea, wakamwambia, Mwalimu, twataka utufanyie lo lote tutakalokuomba. Akawaambia, Mwataka niwafanyie nini? Wakamwambia, Utujalie sisi tuketi, mmoja mkono wako wa kuume, na mmoja mkono wako wa kushoto, katika utukufu wako.

Soma Mk 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 10:35-37