Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:1-3

Mathayo 5:1-3 BHN

Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea, naye akaanza kuwafundisha: “Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 5:1-3