Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 5:1-3

Mt 5:1-3 SUV

Naye alipowaona makutano, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia; akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema, Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Soma Mt 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 5:1-3