Mathayo 5:1-3
Mathayo 5:1-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye alipowaona makutano, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia; akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema, Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea, naye akaanza kuwafundisha: “Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Shirikisha
Soma Mathayo 5