Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:1-3

Mathayo 5:1-3 NEN

Basi Yesu alipoona makutano, alipanda mlimani akaketi chini, nao wanafunzi wake wakamjia. Ndipo akaanza kuwafundisha, akisema: “Heri walio maskini wa roho, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 5:1-3