Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:1-3

Mathayo 5:1-3 SRUV

Naye alipowaona makundi ya watu, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia; akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema, Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Soma Mathayo 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 5:1-3