Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 6:13-15

Kumbukumbu la Sheria 6:13-15 BHN

Mtamcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtamtumikia yeye peke yake na kuapa kwa jina lake peke yake. Msiabudu miungu mingine, miungu ya watu walio jirani nanyi, hasira ya Mwenyezi-Mungu isije ikawaka juu yenu, naye akawafutilia mbali kutoka duniani, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliye kati yenu, ni Mungu mwenye wivu.