Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 6:13-15

Kumbukumbu la Torati 6:13-15 SRUV

Mche BWANA, Mungu wako; ndiye utakayemtumikia, na kuapa kwa jina lake. Msifuate miungu mingine katika miungu ya mataifa wawazungukao; kwani BWANA, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu; isije ikawaka juu yako hasira ya BWANA, Mungu wako, akakuangamiza kutoka juu ya uso wa nchi.