Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 6:13-15

Kumbukumbu 6:13-15 NEN

Utamcha BWANA Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake. Usifuate miungu mingine, miungu ya mataifa yanayokuzunguka; kwa kuwa BWANA Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka uso wa nchi.