Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 16:27-28

Matendo 16:27-28 BHN

Askari wa gereza alipoamka na kuiona milango ya gereza imefunguliwa, alidhani kwamba wafungwa wote walikuwa wametoroka, na hivyo akauchomoa upanga wake, akataka kujiua. Lakini Paulo akaita kwa sauti kubwa: “Usijidhuru mwenyewe kwa maana sisi sote tuko hapa.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 16:27-28