Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 16:27-28

Mdo 16:27-28 SUV

Yule mlinzi wa gereza akaamka, naye alipoona ya kuwa milango ya gereza imefunguka, alifuta upanga, akataka kujiua, akidhani ya kuwa wafungwa wamekimbia. Ila Paulo akapaza sauti yake kwa nguvu, akisema, Usijidhuru, kwa maana sisi sote tupo hapa.

Soma Mdo 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 16:27-28