Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 10:5-6

2 Wakorintho 10:5-6 BHN

na kubomoa kila kizuizi cha majivuno kilichowekwa kuipinga elimu ya Mungu; tunaziteka fikira zote na kuzifanya zimtii Kristo. Mkisha kuwa wakamilifu katika kutii, sisi tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.