Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 10:5-6

2 Wakorintho 10:5-6 NEN

tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu, na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo, tena tukiwa tayari kuadhibu kila tendo la kutotii, kutii kwenu kutakapokamilika.