2 Wakorintho 10:5-6
2 Wakorintho 10:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
na kubomoa kila kizuizi cha majivuno kilichowekwa kuipinga elimu ya Mungu; tunaziteka fikira zote na kuzifanya zimtii Kristo. Mkisha kuwa wakamilifu katika kutii, sisi tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 102 Wakorintho 10:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo; tena tukiwa tayari kupatiliza maasi yote, kutii kwenu kutakapotimia.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 102 Wakorintho 10:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo; tena tukiwa tayari kupatiliza maasi yote, kutii kwenu kutakapotimia.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 10