Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 10:5-6

2 Wakorintho 10:5-6 SRUV

tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo; tena tukiwa tayari kupatiliza maasi yote, kutii kwenu kutakapotimia.