Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohane 5:2-3

1 Yohane 5:2-3 BHN

Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu: Kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake; maana kumpenda Mungu ni kuzitii amri zake. Na, amri zake si ngumu

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohane 5:2-3