Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 5:2-3

1 Yoh 5:2-3 SUV

Katika hili twajua kwamba twawapenda watoto wa Mungu, tumpendapo Mungu, na kuzishika amri zake. Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito.

Soma 1 Yoh 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 5:2-3