1 Yohane 5:2-3
1 Yohane 5:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu: Kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake; maana kumpenda Mungu ni kuzitii amri zake. Na, amri zake si ngumu
Shirikisha
Soma 1 Yohane 51 Yohane 5:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika hili tunajua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu, tumpendapo Mungu, na kuzishika amri zake. Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 5