Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:19-20

Warumi 1:19-20 SRUV

Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia. Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru

Soma Warumi 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 1:19-20