Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 1:19-20

Rum 1:19-20 SUV

Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia. Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru

Soma Rum 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 1:19-20