Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 55:4-8

Zaburi 55:4-8 SRUV

Moyo wangu unaumia ndani yangu, Na hofu za mauti zimeniangukia. Hofu na tetemeko limenijia, Na hofu kubwa imeniingia. Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa, Ningeruka mbali na kustarehe. Ningekwenda zangu mbali, Ningetua jangwani. Ningefanya haraka kuzikimbia Dhoruba na tufani.

Soma Zaburi 55