Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 55:4-8

Zab 55:4-8 SUV

Moyo wangu unaumia ndani yangu, Na hofu za mauti zimeniangukia. Hofu na tetemeko limenijia, Na hofu kubwa imenifunikiza. Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa, Ningerukia mbali na kustarehe. Ningekwenda zangu mbali, Ningetua jangwani. Ningefanya haraka kuzikimbia Dhoruba na tufani.

Soma Zab 55